iqna

IQNA

iran na iraq
Diplomasia ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza udharura wa kuongezeka mashinikizo ya kisiasa ya Ulimwengu wa Kiislamu dhidi ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ili kusimamisha mauaji yanayofanywa dhidi ya watu wa Gaza na kusema: Iraq, ikiwa nchi muhimu katika eneo la Magharibi mwa Asia, inaweza kuwa na nafasi maalumu katika uwanja huu na kuanzisha mstari mpya katika ulimwengu wa Waarabu na wa Kiislamu.
Habari ID: 3477851    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/06

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vita vya kulazimishwa vya Iraq dhidi ya Iran vilikuwa ni matokeo ya siasa za kimkakati za mfumo wa kibeberu katika uadui wake dhidi ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na taifa la Iran.
Habari ID: 3475816    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/21